UTARATIBU WA KIKATIBA BAADA YA MAKAMU WA RAIS KUJIUZULU.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Nafasi ya Makamu wa Rais ni mojawapo ya nafasi muhimu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makamu wa Rais ni msaidizi mkuu wa Rais katika mambo yote ya Jamhuri ya Muungano na hutekeleza pia majukumu anayokabidhiwa na Rais. Kwa hiyo, linapotokea jambo la MakamuContinue reading “UTARATIBU WA KIKATIBA BAADA YA MAKAMU WA RAIS KUJIUZULU.”

DEED POLL TANZANIA: MAANA, MATUMIZI NA TARATIBU ZA USAJILI WA MABADILIKO YA JINA

Deed poll UtanguliziKatika maisha ya kila siku, jina la mtu ni sehemu muhimu ya utambulisho wake. Jina hutumika katika cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Taifa (NIDA), pasipoti, vyeti vya elimu, akaunti za benki, hati za umiliki wa mali na nyaraka nyingine mbalimbali.Hata hivyo, kuna mazingira ambayo mtu anaweza kutaka kubadilisha jina lake rasmi. Kwa mfano,ContinueContinue reading “DEED POLL TANZANIA: MAANA, MATUMIZI NA TARATIBU ZA USAJILI WA MABADILIKO YA JINA”

POWER OF ATTORNEY TANZANIA: MAANA, MATUMIZI NA USAJILI

Utangulizi Katika maisha ya kila siku, kuna mazingira ambayo mtu anakuwa na shughuli muhimu za kisheria au kibiashara lakini hawezi kuzitekeleza mwenyewe. Anaweza kuwa yuko nje ya nchi, anaumwa, yuko mbali na eneo ambako shughuli inapaswa kufanyika, au ana majukumu mengine yanayomzuia kushughulikia jambo hilo binafsi. Katika mazingira hayo, sheria inaruhusu mtu kumteua mtu mwingineContinue reading “POWER OF ATTORNEY TANZANIA: MAANA, MATUMIZI NA USAJILI”

Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026

Malipo ya kielektroniki. Imechapishwa na LegalJamii Kuanzia tarehe 1 Julai 2026, Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza Amri ya Miamala ya Kielektroniki (Malipo ya Lazima kwa Njia za Kielektroniki kwa Miamala Iliyoainishwa), 2026, iliyotolewa na Waziri wa Fedha tarehe 30 Juni 2026 kwa mujibu wa kifungu cha 13(2) cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki. Amri hiiContinueContinue reading “Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026”

UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI: Hatua na Mahakama za Ardhi Tanzania

Ardhi UtanguliziMigogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara nyingi nchini Tanzania. Chanzo chake kinaweza kuwa ni mipaka ya ardhi, umiliki wa kiwanja au shamba, urithi wa ardhi, uvamizi wa ardhi, upangishaji, matumizi ya ardhi, pamoja na madai ya fidia. Ili kuhakikisha haki inapatikana kwa haraka na kwa gharama nafuu, Tanzania imeanzisha mfumo maalumuContinueContinue reading “UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI: Hatua na Mahakama za Ardhi Tanzania”

JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.

UtanguliziKatika maisha ya kila siku, wananchi, wafanya biashara, taasisi na kampuni wanaweza kujikuta wakiwa na malalamiko au madai dhidi ya Serikali kutokana na vitendo au maamuzi ya taasisi za umma. Madai hayo yanaweza kutokana na kuvunjwa kwa mkataba, kutolipwa fedha, uharibifu wa mali, migogoro ya fidia, maamuzi ya kiutawala yasiyo halali au sababu nyingine zinazotambuliwaContinueContinue reading “JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.”

HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.

Utangulizi. Ajira ni chanzo kikuu cha maisha kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, wafanyakazi wengi hupoteza haki zao kwa sababu ya kutofahamu sheria zinazowalinda. Wengine hulazimishwa kufanya kazi katika mazingira magumu, kufukuzwa bila kufuata utaratibu, kunyimwa mishahara, au kunyanyaswa kazini bila kujua kuwa sheria za Tanzania zimeweka ulinzi mkubwa dhidi ya vitendo hivyo. Kwa upandeContinueContinue reading “HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.”

WASIO RAIA WA TANZANIA HAWANA HAKI YA KUMILIKI AU KURITHI ARDHI.

Na legaljamii Non citizens can’t inherit Land. Tuanze na Madokezo:-Wasio raia wamezuiwa kurithi ardhi nchini Tanzania. Umiliki wa ardhi kwa njia ya urithi sasa ni haki ya raia pekee. Mahakama imetumia tafsiri ya kimakusudi (purposive interpretation) ya sheria.Sheria ya Ardhi ambayo imepewa uzito dhidi ya sheria za mirathi Mnamo tarehe 22 Agosti 2025, Mahakama yaContinueContinue reading “WASIO RAIA WA TANZANIA HAWANA HAKI YA KUMILIKI AU KURITHI ARDHI.”

HURIDHIKI NA MAKADIRIO YA KODI? SHERIA ZA KODI TANZANIA ZINASEMAJE NA UFANYE NINI?

Na LegalJamii Kodi si mzigo. Kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya serikali na msingi wa utoaji wa huduma za jamii. Lakini kwa upande wa mlipakodi, kodi ni pia eneo linalohitaji uwazi, haki, na usawa wa kisheria. Ndiyo maana mfumo wa kodi Tanzania umeweka taratibu maalum za kuhakikisha mlipakodi halipishwi kodi isiyo sahihi au isiyoContinueContinue reading “HURIDHIKI NA MAKADIRIO YA KODI? SHERIA ZA KODI TANZANIA ZINASEMAJE NA UFANYE NINI?”

Mahakama Yabatilisha Uamuzi wa Baraza la Kodi kwa Kukosa Kutoa Sababu za Kisheria.

1. Kukosa kutoa sababu hufanya uamuzi kuwa batili. 2. Baraza lazima lichambue na kuamua hoja za rufaa. 3. Kunukuu hoja za upande mmoja si hukumu. 4. Mahakama yatumia mamlaka ya mapitio kurekebisha dosari ya msingi,shauri larudishwa Barazani kwa uamuzi mpya. Historia ya Shauri. Mnamo tarehe 19 Januari 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ilitoa uamuziContinueContinue reading “Mahakama Yabatilisha Uamuzi wa Baraza la Kodi kwa Kukosa Kutoa Sababu za Kisheria.”