Ardhi UtanguliziMigogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara nyingi nchini Tanzania. Chanzo chake kinaweza kuwa ni mipaka ya ardhi, umiliki wa kiwanja au shamba, urithi wa ardhi, uvamizi wa ardhi, upangishaji, matumizi ya ardhi, pamoja na madai ya fidia. Ili kuhakikisha haki inapatikana kwa haraka na kwa gharama nafuu, Tanzania imeanzisha mfumo maalumuContinueContinue reading “πJE! UNA MGOGORO WA ARDHI? Hatua za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi na Mahakama za Migogoro ya Ardhi Tanzania.”
Tag Archives: #Landlaw
WASIO RAIA WA TANZANIA HAWANA HAKI YA KUMILIKI AU KURITHI ARDHI.
Na legaljamii Non citizens can’t inherit Land. Tuanze na Madokezo:-Wasio raia wamezuiwa kurithi ardhi nchini Tanzania. Umiliki wa ardhi kwa njia ya urithi sasa ni haki ya raia pekee. Mahakama imetumia tafsiri ya kimakusudi (purposive interpretation) ya sheria. Sheria ya Ardhi ambayo imepewa uzito dhidi ya sheria za mirathi Mnamo tarehe 22 Agosti 2025, MahakamaContinueContinue reading “WASIO RAIA WA TANZANIA HAWANA HAKI YA KUMILIKI AU KURITHI ARDHI.”
