Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026

Malipo ya kielektroniki. Imechapishwa na LegalJamii Kuanzia tarehe 1 Julai 2026, Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza Amri ya Miamala ya Kielektroniki (Malipo ya Lazima kwa Njia za Kielektroniki kwa Miamala Iliyoainishwa), 2026, iliyotolewa na Waziri wa Fedha tarehe 30 Juni 2026 kwa mujibu wa kifungu cha 13(2) cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki. Amri hiiContinue reading "Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026"

πŸ›˜JE! UNA MGOGORO WA ARDHI? Hatua za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi na Mahakama za Migogoro ya Ardhi Tanzania.

Ardhi UtanguliziMigogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara nyingi nchini Tanzania. Chanzo chake kinaweza kuwa ni mipaka ya ardhi, umiliki wa kiwanja au shamba, urithi wa ardhi, uvamizi wa ardhi, upangishaji, matumizi ya ardhi, pamoja na madai ya fidia. Ili kuhakikisha haki inapatikana kwa haraka na kwa gharama nafuu, Tanzania imeanzisha mfumo maalumuContinue reading "πŸ›˜JE! UNA MGOGORO WA ARDHI? Hatua za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi na Mahakama za Migogoro ya Ardhi Tanzania."

JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.

UtanguliziKatika maisha ya kila siku, wananchi, wafanya biashara, taasisi na kampuni wanaweza kujikuta wakiwa na malalamiko au madai dhidi ya Serikali kutokana na vitendo au maamuzi ya taasisi za umma. Madai hayo yanaweza kutokana na kuvunjwa kwa mkataba, kutolipwa fedha, uharibifu wa mali, migogoro ya fidia, maamuzi ya kiutawala yasiyo halali au sababu nyingine zinazotambuliwaContinue reading "JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA."

HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.

Utangulizi. Ajira ni chanzo kikuu cha maisha kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, wafanyakazi wengi hupoteza haki zao kwa sababu ya kutofahamu sheria zinazowalinda. Wengine hulazimishwa kufanya kazi katika mazingira magumu, kufukuzwa bila kufuata utaratibu, kunyimwa mishahara, au kunyanyaswa kazini bila kujua kuwa sheria za Tanzania zimeweka ulinzi mkubwa dhidi ya vitendo hivyo. Kwa upandeContinue reading "HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi."

WASIO RAIA WA TANZANIA HAWANA HAKI YA KUMILIKI AU KURITHI ARDHI.

Na legaljamii Non citizens can't inherit Land. Tuanze na Madokezo:-Wasio raia wamezuiwa kurithi ardhi nchini Tanzania. Umiliki wa ardhi kwa njia ya urithi sasa ni haki ya raia pekee. Mahakama imetumia tafsiri ya kimakusudi (purposive interpretation) ya sheria. Sheria ya Ardhi ambayo imepewa uzito dhidi ya sheria za mirathi Mnamo tarehe 22 Agosti 2025, MahakamaContinue reading "WASIO RAIA WA TANZANIA HAWANA HAKI YA KUMILIKI AU KURITHI ARDHI."

HURIDHIKI NA MAKADIRIO YA KODI? SHERIA ZA KODI TANZANIA ZINASEMAJE NA UFANYE NINI?

Na LegalJamii Kodi si mzigo. Kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya serikali na msingi wa utoaji wa huduma za jamii. Lakini kwa upande wa mlipakodi, kodi ni pia eneo linalohitaji uwazi, haki, na usawa wa kisheria. Ndiyo maana mfumo wa kodi Tanzania umeweka taratibu maalum za kuhakikisha mlipakodi halipishwi kodi isiyo sahihi au isiyoContinue reading "HURIDHIKI NA MAKADIRIO YA KODI? SHERIA ZA KODI TANZANIA ZINASEMAJE NA UFANYE NINI?"

Mahakama Yabatilisha Uamuzi wa Baraza la Kodi kwa Kukosa Kutoa Sababu za Kisheria.

1. Kukosa kutoa sababu hufanya uamuzi kuwa batili. 2. Baraza lazima lichambue na kuamua hoja za rufaa. 3. Kunukuu hoja za upande mmoja si hukumu. 4. Mahakama yatumia mamlaka ya mapitio kurekebisha dosari ya msingi,shauri larudishwa Barazani kwa uamuzi mpya. Historia ya Shauri. Mnamo tarehe 19 Januari 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ilitoa uamuziContinue reading "Mahakama Yabatilisha Uamuzi wa Baraza la Kodi kwa Kukosa Kutoa Sababu za Kisheria."

πŸŽ„ SEASON’S GREETINGS πŸŽ„

Christmas 🎁 LEGALJAMII – The Kalokola Foundation extends its warmest Christmas greetings to all our stakeholders, partners, followers, and the general public. As we celebrate this festive season, we take this moment to reflect, rest, and reaffirm our commitment to promoting legal awareness, justice, and the rule of law within our community. We sincerely appreciateContinue reading "πŸŽ„ SEASON’S GREETINGS πŸŽ„"

DUNIA LEO: Nchi, Idadi ya Watu, Uchumi, Uzalishaji, na Sababu Zinazofanya Nchi Kufanikiwa.

World economic forum Dunia ni mahali penye mchanganyiko wa tamaduni, lugha, na uchumi. Kuifahamu Dunia kwa undani kunasaidia sio tu kuelewa jinsi maisha yanavyopangwa, bali pia kuona jinsi Nchi zinavyopiga hatua kiuchumi na kijamii. Makala hii inakuletea muhtasari wa kina kuhusu nchi za dunia, idadi ya watu, uchumi, uzalishaji, na mambo yanayofanya baadhi ya nchiContinue reading "DUNIA LEO: Nchi, Idadi ya Watu, Uchumi, Uzalishaji, na Sababu Zinazofanya Nchi Kufanikiwa."

FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIΒ  TANZANIA.

The witchcraft Act, Cap 18. Kwanza tufahamu sheria hii ni nini?Witchcraft Act, Chapter 18 ni sheria ya Jinai ya Tanzania iliyoundwa β€œkuadhibu wachawi na vitendo vinavyohusiana na uchawi.” Sheria hii tulikuwa nayo tangu kipindi cha ukoloni ilianzishwa mwaka 1928 na imepitishwa tena katika marekebisho kadhaa. Madhumuni ya sheria ni kulinda jamii dhidi ya yale yanayohusishwaContinue reading "FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIΒ  TANZANIA."