HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.

Utangulizi. Ajira ni chanzo kikuu cha maisha kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, wafanyakazi wengi hupoteza haki zao kwa sababu ya kutofahamu sheria zinazowalinda. Wengine hulazimishwa kufanya kazi katika mazingira magumu, kufukuzwa bila kufuata utaratibu, kunyimwa mishahara, au kunyanyaswa kazini bila kujua kuwa sheria za Tanzania zimeweka ulinzi mkubwa dhidi ya vitendo hivyo. Kwa upandeContinueContinue reading “HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.”

πŸŽ„ SEASON’S GREETINGS πŸŽ„

Christmas 🎁 LEGALJAMII – The Kalokola Foundation extends its warmest Christmas greetings to all our stakeholders, partners, followers, and the general public. As we celebrate this festive season, we take this moment to reflect, rest, and reaffirm our commitment to promoting legal awareness, justice, and the rule of law within our community. We sincerely appreciateContinueContinue reading “πŸŽ„ SEASON’S GREETINGS πŸŽ„”

FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIΒ  TANZANIA.

Kwanza tufahamu sheria hii ni nini? Witchcraft Act, Chapter 18 ni sheria ya Jinai ya Tanzania iliyoundwa β€œkuadhibu wachawi na vitendo vinavyohusiana na uchawi.” Sheria hii tulikuwa nayo tangu kipindi cha ukoloni ilianzishwa mwaka 1928 na imepitishwa tena katika marekebisho kadhaa. Madhumuni ya sheria ni kulinda jamii dhidi ya yale yanayohusishwa na imani za kichawiContinue reading “FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIΒ  TANZANIA.”

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii Blog Utangulizi Katika harakati za kumiliki ardhi au kujenga makazi bora, hatua ya kununua kiwanja ni uamuzi mkubwa unaohitaji uangalifu wa hali ya juu. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine nyingi, ina mifumo na taratibu madhubuti za kisheria zinazosimamia umiliki wa ardhi. Bahati mbaya, changamoto za migogoro ya ardhi zimekuwa niContinueContinue reading “MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria”

MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii Blog Tuwalinde watoto UtanguliziKatika jamii yoyote ile, watoto ni kundi muhimu linalopaswa kulindwa na kuendelezwa kwa uangalifu mkubwa. Watoto, kutokana na hali yao ya umri na kutokukomaa kifikra, wanahitaji mfumo wa haki unaolinda maslahi yao, lakini pia kuwaelekeza wanapokosea. Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayozingatia utawala wa sheria naContinueContinue reading “MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai”