Utangulizi Katika maisha ya kila siku, kuna mazingira ambayo mtu anakuwa na shughuli muhimu za kisheria au kibiashara lakini hawezi kuzitekeleza mwenyewe. Anaweza kuwa yuko nje ya nchi, anaumwa, yuko mbali na eneo ambako shughuli inapaswa kufanyika, au ana majukumu mengine yanayomzuia kushughulikia jambo hilo binafsi. Katika mazingira hayo, sheria inaruhusu mtu kumteua mtu mwingineContinue reading “POWER OF ATTORNEY TANZANIA: MAANA, MATUMIZI NA USAJILI”
Tag Archives: #IjueSheria
Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026
Malipo ya kielektroniki. Imechapishwa na LegalJamii Kuanzia tarehe 1 Julai 2026, Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza Amri ya Miamala ya Kielektroniki (Malipo ya Lazima kwa Njia za Kielektroniki kwa Miamala Iliyoainishwa), 2026, iliyotolewa na Waziri wa Fedha tarehe 30 Juni 2026 kwa mujibu wa kifungu cha 13(2) cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki. Amri hiiContinueContinue reading “Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026”
UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI: Hatua na Mahakama za Ardhi Tanzania
Ardhi UtanguliziMigogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara nyingi nchini Tanzania. Chanzo chake kinaweza kuwa ni mipaka ya ardhi, umiliki wa kiwanja au shamba, urithi wa ardhi, uvamizi wa ardhi, upangishaji, matumizi ya ardhi, pamoja na madai ya fidia. Ili kuhakikisha haki inapatikana kwa haraka na kwa gharama nafuu, Tanzania imeanzisha mfumo maalumuContinueContinue reading “UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI: Hatua na Mahakama za Ardhi Tanzania”
JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.
UtanguliziKatika maisha ya kila siku, wananchi, wafanya biashara, taasisi na kampuni wanaweza kujikuta wakiwa na malalamiko au madai dhidi ya Serikali kutokana na vitendo au maamuzi ya taasisi za umma. Madai hayo yanaweza kutokana na kuvunjwa kwa mkataba, kutolipwa fedha, uharibifu wa mali, migogoro ya fidia, maamuzi ya kiutawala yasiyo halali au sababu nyingine zinazotambuliwaContinueContinue reading “JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.”
FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIย TANZANIA.
Kwanza tufahamu sheria hii ni nini? Witchcraft Act, Chapter 18 ni sheria ya Jinai ya Tanzania iliyoundwa โkuadhibu wachawi na vitendo vinavyohusiana na uchawi.โ Sheria hii tulikuwa nayo tangu kipindi cha ukoloni ilianzishwa mwaka 1928 na imepitishwa tena katika marekebisho kadhaa. Madhumuni ya sheria ni kulinda jamii dhidi ya yale yanayohusishwa na imani za kichawiContinue reading “FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIย TANZANIA.”
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria
Na Richard Kalokola โ LegalJamii Blog Utangulizi Katika harakati za kumiliki ardhi au kujenga makazi bora, hatua ya kununua kiwanja ni uamuzi mkubwa unaohitaji uangalifu wa hali ya juu. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine nyingi, ina mifumo na taratibu madhubuti za kisheria zinazosimamia umiliki wa ardhi. Bahati mbaya, changamoto za migogoro ya ardhi zimekuwa niContinueContinue reading “MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria”
UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi โ Somo kwa Tanzania na Afrika๐
Na Richard Kalokola โ LegalJamii Blog A Tanzanian official presents economic investment opportunities to delegates at a professional forum. UtanguliziKatika harakati za kujenga taifa lenye uchumi thabiti na unaokua kwa kasi, mambo mengi huonwa kama msingi: uwekezaji wa ndani na nje, miundombinu bora, elimu ya kisasa, au sera nzuri za kiuchumi. Hata hivyo, kuna nguzoContinueContinue reading “UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi โ Somo kwa Tanzania na Afrika๐”
DHANA YA NDOA, PASIPO NDOA HALALI KISHERIA(PRESUMPTION OF MARRIAGE)
(De facto union) Bila shaka itakuwa si jambo geni sana masikioni mwa wengi, jambo la watu ambao huishi kama mke na Mume pasipo ndoa rasmi, ama kwa lugha ya mtaani hujulikana kama sogea tukae. Katika sheria ya Tanzania, dhana ya Presumption of Marriage inamaanisha kwamba mahakama inaweza kutambua uwepo wa ndoa hata kama haikusajiliwa rasmi,ContinueContinue reading “DHANA YA NDOA, PASIPO NDOA HALALI KISHERIA(PRESUMPTION OF MARRIAGE)”
SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2.
MASHTAKA YA KINDOA(MATRIMONIAL LITIGATION). Hizi ni taratibu ambapo upande mmoja wa ndoa awe mume ama mke, anakuwa na kesi dhidi ya upande mwingine kuhusu suala la kindoa. Taasisi kubwa mbili zenye mamlaka ya kusikiliza mashtaka ya kindoa katika hatua tofauti ni:- Mabaraza ya usuluhishi wa ndoa. (Marriage conciliatory boards) na, Mahakama. Mamlaka ya Mahakama(Jurisdiction ofContinueContinue reading “SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2.”
SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1.
MAANA YA FAMILIA. Familia ni dhana pana sana yenye tafsiri tofauti tofauti kulingana na mazingira, lakini katika tafsiri ya msingi familia ni muunganiko wa watu, ambao wanahusiana kwa damu, ndoa au kuasiliwa. Familia ni kundi la watu wanaohusiana kwa damu, ndoa, au uhusiano wa kulea, wanaoishi pamoja au kushirikiana kwa namna fulani katika maisha yao.ContinueContinue reading “SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1.”
