Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026

Malipo ya kielektroniki. Imechapishwa na LegalJamii Kuanzia tarehe 1 Julai 2026, Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza Amri ya Miamala ya Kielektroniki (Malipo ya Lazima kwa Njia za Kielektroniki kwa Miamala Iliyoainishwa), 2026, iliyotolewa na Waziri wa Fedha tarehe 30 Juni 2026 kwa mujibu wa kifungu cha 13(2) cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki. Amri hiiContinueContinue reading “Malipo ya Fedha Taslimu Yapigwa Marufuku kwa Miamala Maalum: Unachopaswa Kujua Kuhusu Amri Mpya ya Serikali ya 2026”

UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI: Hatua na Mahakama za Ardhi Tanzania

Ardhi UtanguliziMigogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara nyingi nchini Tanzania. Chanzo chake kinaweza kuwa ni mipaka ya ardhi, umiliki wa kiwanja au shamba, urithi wa ardhi, uvamizi wa ardhi, upangishaji, matumizi ya ardhi, pamoja na madai ya fidia. Ili kuhakikisha haki inapatikana kwa haraka na kwa gharama nafuu, Tanzania imeanzisha mfumo maalumuContinueContinue reading “UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI: Hatua na Mahakama za Ardhi Tanzania”

JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.

UtanguliziKatika maisha ya kila siku, wananchi, wafanya biashara, taasisi na kampuni wanaweza kujikuta wakiwa na malalamiko au madai dhidi ya Serikali kutokana na vitendo au maamuzi ya taasisi za umma. Madai hayo yanaweza kutokana na kuvunjwa kwa mkataba, kutolipwa fedha, uharibifu wa mali, migogoro ya fidia, maamuzi ya kiutawala yasiyo halali au sababu nyingine zinazotambuliwaContinueContinue reading “JINSI YA KUISHTAKI SERIKALI AU MAMLAKA ZA SERIKALI TANZANIA KATIKA MASHAURI YA MADAI, UTARATIBU WA NOTISI YA SIKU 90 NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.”

HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.

Utangulizi. Ajira ni chanzo kikuu cha maisha kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, wafanyakazi wengi hupoteza haki zao kwa sababu ya kutofahamu sheria zinazowalinda. Wengine hulazimishwa kufanya kazi katika mazingira magumu, kufukuzwa bila kufuata utaratibu, kunyimwa mishahara, au kunyanyaswa kazini bila kujua kuwa sheria za Tanzania zimeweka ulinzi mkubwa dhidi ya vitendo hivyo. Kwa upandeContinueContinue reading “HAKI ZA WAFANYAKAZI TANZANIA: Mwongozo Kamili wa Kisheria kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Binafsi.”

Dunia Leo: Idadi ya Watu, Uchumi na Siri za Mafanikio ya Mataifa

World economic forum Dunia ni mahali penye mchanganyiko wa tamaduni, lugha, na uchumi. Kuifahamu Dunia kwa undani kunasaidia sio tu kuelewa jinsi maisha yanavyopangwa, bali pia kuona jinsi Nchi zinavyopiga hatua kiuchumi na kijamii. Makala hii inakuletea muhtasari wa kina kuhusu nchi za dunia, idadi ya watu, uchumi, uzalishaji, na mambo yanayofanya baadhi ya nchiContinueContinue reading “Dunia Leo: Idadi ya Watu, Uchumi na Siri za Mafanikio ya Mataifa”

FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIΒ  TANZANIA.

Kwanza tufahamu sheria hii ni nini? Witchcraft Act, Chapter 18 ni sheria ya Jinai ya Tanzania iliyoundwa β€œkuadhibu wachawi na vitendo vinavyohusiana na uchawi.” Sheria hii tulikuwa nayo tangu kipindi cha ukoloni ilianzishwa mwaka 1928 na imepitishwa tena katika marekebisho kadhaa. Madhumuni ya sheria ni kulinda jamii dhidi ya yale yanayohusishwa na imani za kichawiContinue reading “FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWIΒ  TANZANIA.”

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii Blog Utangulizi Katika harakati za kumiliki ardhi au kujenga makazi bora, hatua ya kununua kiwanja ni uamuzi mkubwa unaohitaji uangalifu wa hali ya juu. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine nyingi, ina mifumo na taratibu madhubuti za kisheria zinazosimamia umiliki wa ardhi. Bahati mbaya, changamoto za migogoro ya ardhi zimekuwa niContinueContinue reading “MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria”

MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii Blog Tuwalinde watoto UtanguliziKatika jamii yoyote ile, watoto ni kundi muhimu linalopaswa kulindwa na kuendelezwa kwa uangalifu mkubwa. Watoto, kutokana na hali yao ya umri na kutokukomaa kifikra, wanahitaji mfumo wa haki unaolinda maslahi yao, lakini pia kuwaelekeza wanapokosea. Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayozingatia utawala wa sheria naContinueContinue reading “MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai”