Traditional chieftaincy in Tanzania has undergone significant transformations, evolving from a central institution in pre-colonial and colonial governance to a more symbolic role in contemporary society. This essay explores the historical trajectory of chiefs in Tanzania, examining their roles, the impact of colonial and post-colonial policies, and their enduring influence in modern times.Pre-Colonial Era: TheContinue reading "THE EVOLUTION AND LEGACY OF CHIEFS IN TANZANIA."
PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES IN TANZANIA.
The very rationale behind probate and administration of Estates emanate from the fact that one day we will die or be incapacitated in the course of our daily life, however we may wish to tell and instruct on how our properties (Estates) should be dealt with. It is in that aspect that the Laws ofContinue reading "PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES IN TANZANIA."
HISTORIA YA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MABADILIKO YAKE MBALIMBALI.
Kwa tafsiri nzuri na itakayoeleweka Zaidi "KATIBA" Ni Sheria mama ama Sheria kuu iwe katika Nchi ama taasisi Fulani. Katiba katika Muktadha wa Nchi Ni Sheria mama ambayo huweka misingi mikuu ya kisheria katika Nchi. Katiba huweka miongozo ambayo hufafanuliwa Zaidi katika Sheria nyingine zitakazotungwa na Bunge ama zitakazotungwa Kwa utaratibu mwingine ulioelekezwa na Bunge.Continue reading "HISTORIA YA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MABADILIKO YAKE MBALIMBALI."
UHURU WA MAHAKAMA (INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY) πΌ
Uhuru wa Mahakama ni moja ya msingi mkubwa na muhimu katika kudumisha utawala wa sheria, haki na demokrasia. Mahakama huru ni nguzo inayosimamia haki, usawa, na utawala bora katika jamii. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa uhuru wa mahakama, changamoto zinazoweza kujitokeza, na jinsi ya kuhakikisha uhuru huo unadumishwa. Kwa Mujibu wa Katiba ya TanzaniaContinue reading "UHURU WA MAHAKAMA (INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY) πΌ"
Tanzania’s Legal Framework: A Comprehensive Overview
Tanzania, located in East Africa, is a nation known for its diverse culture, stunning landscapes, and rich history. At the heart of its governance and society lies a robust legal framework that guides the country's political, social, and economic systems. This article explores the legal framework of Tanzania, shedding light on its historical development, keyContinue reading "Tanzania’s Legal Framework: A Comprehensive Overview"
The Prerogative of mercy in TanzaniaImpact-Site-Verification: 53735b66-8b53-4d3d-a8d3-254c369ae388
In the United Republic of Tanzania, one of the most significant and compassionate powers vested in the President is the prerogative of mercy. This constitutional authority allows the President to exercise clemency, compassion, and forgiveness, mitigating or relieving the punishment of individuals convicted of various offenses. The prerogative of mercy reflects the nation's commitment toContinue reading "The Prerogative of mercy in TanzaniaImpact-Site-Verification: 53735b66-8b53-4d3d-a8d3-254c369ae388"
DHAMANA (BAIL).
Ni hatua mojawapo katika kesi za jinai ambapo mtuhumiwa ama mshukiwa huachiwa na mahakama au polisi Kwa masharti Fulani, Kwa lengo la kuihakikishia mahakama au jeshi la polisi kuwa atakuwepo pindi atakapohitajika na mamlaka hizo. Dhamana ni kuachiliwa Kwa Muda Kwa mtuhumiwa wakati kesi ikiendelea mahakamani au upelelezi ukiendelea Polisi. Dhamana inatokana na dhana maarufuContinue reading "DHAMANA (BAIL)."
UTATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA YA USULUHISHI NA UPATANISHI.βͺοΈ
Ni wazi kwamba msisitizo umekuwa ukitolewa kwa wananchi kutoka mamlaka mbalimbali za vyombo vya dola kuhusu kutojichukulia Sheria Mkononi. Wananchi wamekuwa wakiaswa kufika mbele ya vyombo vya sheria kwa uamuzi ama utatuzi wa migogoro yao. Hata hivyo Leo njia ya utatuzi wa migogoro kwa UPATANISHI, USULUHISHI na UAMUZI nje ya mahakama umekuwa ukihamasishwa sana, katikaContinue reading "UTATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA YA USULUHISHI NA UPATANISHI.βͺοΈ"
SHERIA NA JAMII β
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya JAMII na SHERIA na hii ni kutokana na ukweli kwamba hakuna jamii bila sheria. Sheria husaidia kuweka taratibu, kanuni, miiko, na miongozo ya namna ya kufanya mambo mbalimbali katika jamii husika. Karibu kila jambo Duniani kwa sasa linaongozwa na sheria hivyo ni wajibu was raia na wanajamii wote kufahamuContinue reading "SHERIA NA JAMII β"
The Journey Begins
Thanks for joining LegalJamii! This site aims at upholding and promoting legal awareness among the community/Society. As we are of the view that it is of great essence that the society understands the rules, principles and regulations that governs their daily conducts, in order to avoid unnecessary Claims. This further culminates from the phrase "ubiContinue reading "The Journey Begins"
