Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya JAMII na SHERIA na hii ni kutokana na ukweli kwamba hakuna jamii bila sheria. Sheria husaidia kuweka taratibu, kanuni, miiko, na miongozo ya namna ya kufanya mambo mbalimbali katika jamii husika. Karibu kila jambo Duniani kwa sasa linaongozwa na sheria hivyo ni wajibu was raia na wanajamii wote kufahamu sheria ili kujua namna ya kufanya shughuli zao bila kuvunja sheria za jamii na nchi kwa ujumla. Ikumbukwe KUTOJUA SHERIA SI KINGA YA KUONDOA KOSA.
hata hivyo ni changamoto iliyowazi kuhusu utaratibu wa kutunga Sheria na Ushirikishwaji wa wananchi katika kutunga Sheria hizo na kukuza ufahamu wa sheria.
@richardkalokola

Discover more from ππππππππππβοΈ
Subscribe to get the latest posts sent to your email.

