MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii Blog Utangulizi Katika harakati za kumiliki ardhi au kujenga makazi bora, hatua ya kununua kiwanja ni uamuzi mkubwa unaohitaji uangalifu wa hali ya juu. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine nyingi, ina mifumo na taratibu madhubuti za kisheria zinazosimamia umiliki wa ardhi. Bahati mbaya, changamoto za migogoro ya ardhi zimekuwa niContinue reading "MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria"

MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii Blog Tuwalinde watoto UtanguliziKatika jamii yoyote ile, watoto ni kundi muhimu linalopaswa kulindwa na kuendelezwa kwa uangalifu mkubwa. Watoto, kutokana na hali yao ya umri na kutokukomaa kifikra, wanahitaji mfumo wa haki unaolinda maslahi yao, lakini pia kuwaelekeza wanapokosea. Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayozingatia utawala wa sheria naContinue reading "MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai"

UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi β€” Somo kwa Tanzania na Afrika🌍

Na Richard Kalokola β€” LegalJamii BlogUtanguliziKatika harakati za kujenga taifa lenye uchumi thabiti na unaokua kwa kasi, mambo mengi huonwa kama msingi: uwekezaji wa ndani na nje, miundombinu bora, elimu ya kisasa, au sera nzuri za kiuchumi. Hata hivyo, kuna nguzo mbili ambazo mara nyingi hazipewi uzito unaostahili lakini ndizo msingi wa mafanikio ya taifaContinue reading "UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi β€” Somo kwa Tanzania na Afrika🌍"

DHANA YA NDOA, PASIPO NDOA HALALI KISHERIA(PRESUMPTION OF MARRIAGE)

(De facto union) Bila shaka itakuwa si jambo geni sana masikioni mwa wengi, jambo la watu ambao huishi kama mke na Mume pasipo ndoa rasmi, ama kwa lugha ya mtaani hujulikana kama sogea tukae. Katika sheria ya Tanzania, dhana ya Presumption of Marriage inamaanisha kwamba mahakama inaweza kutambua uwepo wa ndoa hata kama haikusajiliwa rasmi,Continue reading "DHANA YA NDOA, PASIPO NDOA HALALI KISHERIA(PRESUMPTION OF MARRIAGE)"

SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2.

MASHTAKA YA KINDOA(MATRIMONIAL LITIGATION). Hizi ni taratibu ambapo upande mmoja wa ndoa awe mume ama mke, anakuwa na kesi dhidi ya upande mwingine kuhusu suala la kindoa. Taasisi kubwa mbili zenye mamlaka ya kusikiliza mashtaka ya kindoa katika hatua tofauti ni:- Mabaraza ya usuluhishi wa ndoa. (Marriage conciliatory boards) na, Mahakama. Mamlaka ya Mahakama(Jurisdiction ofContinue reading "SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2."

SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1.

MAANA YA FAMILIA. Familia ni dhana pana sana yenye tafsiri tofauti tofauti kulingana na mazingira, lakini katika tafsiri ya msingi familia ni muunganiko wa watu, ambao wanahusiana kwa damu, ndoa au kuasiliwa. Familia ni kundi la watu wanaohusiana kwa damu, ndoa, au uhusiano wa kulea, wanaoishi pamoja au kushirikiana kwa namna fulani katika maisha yao.Continue reading "SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1."

Learn more on Litigation and argumentation skills; watch Section 375 and get inspired. The entire scope of how Justice and Law can confict.

https://videopress.com/v/UFZfKBTQ?resizeToParent=true&cover=true&preloadContent=metadata&useAverageColor=true Law & Justice

THE CONCEPT OF BILL OF COSTS IN CIVIL CASES.

(Costs to follow the events) Under the normal circumstances when the civil case is determined to it's finality, the words "With costs" or "Costs to follow the event" are normally seen at the end of the judgement or ruling. The winner of the case is entitled to costs of prosecuting the case. These are costsContinue reading "THE CONCEPT OF BILL OF COSTS IN CIVIL CASES."

Why Criminal Cases Are Normally Prosecuted by the State in Tanzania.

INTRODUCTIONIn Tanzania, as in many other jurisdictions, criminal cases are typically prosecuted by the state rather than by private individuals. This practice is rooted in legal, historical, and practical reasons that ensure justice is served fairly and consistently. The state, through the Office of the Director of Public Prosecutions (DPP), assumes the responsibility of prosecutingContinue reading "Why Criminal Cases Are Normally Prosecuted by the State in Tanzania."