🎄 SEASON’S GREETINGS 🎄

Christmas 🎁 LEGALJAMII – The Kalokola Foundation extends its warmest Christmas greetings to all our stakeholders, partners, followers, and the general public. As we celebrate this festive season, we take this moment to reflect, rest, and reaffirm our commitment to promoting legal awareness, justice, and the rule of law within our community. We sincerely appreciateContinueContinue reading “🎄 SEASON’S GREETINGS 🎄”

Dunia Leo: Idadi ya Watu, Uchumi na Siri za Mafanikio ya Mataifa

World economic forum Dunia ni mahali penye mchanganyiko wa tamaduni, lugha, na uchumi. Kuifahamu Dunia kwa undani kunasaidia sio tu kuelewa jinsi maisha yanavyopangwa, bali pia kuona jinsi Nchi zinavyopiga hatua kiuchumi na kijamii. Makala hii inakuletea muhtasari wa kina kuhusu nchi za dunia, idadi ya watu, uchumi, uzalishaji, na mambo yanayofanya baadhi ya nchiContinueContinue reading “Dunia Leo: Idadi ya Watu, Uchumi na Siri za Mafanikio ya Mataifa”

FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWI  TANZANIA.

Kwanza tufahamu sheria hii ni nini? Witchcraft Act, Chapter 18 ni sheria ya Jinai ya Tanzania iliyoundwa “kuadhibu wachawi na vitendo vinavyohusiana na uchawi.” Sheria hii tulikuwa nayo tangu kipindi cha ukoloni ilianzishwa mwaka 1928 na imepitishwa tena katika marekebisho kadhaa. Madhumuni ya sheria ni kulinda jamii dhidi ya yale yanayohusishwa na imani za kichawiContinue reading “FAHAMU KUHUSU SHERIA YA UCHAWI  TANZANIA.”

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria

Na Richard Kalokola — LegalJamii Blog Utangulizi Katika harakati za kumiliki ardhi au kujenga makazi bora, hatua ya kununua kiwanja ni uamuzi mkubwa unaohitaji uangalifu wa hali ya juu. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine nyingi, ina mifumo na taratibu madhubuti za kisheria zinazosimamia umiliki wa ardhi. Bahati mbaya, changamoto za migogoro ya ardhi zimekuwa niContinueContinue reading “MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria”

MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai

Na Richard Kalokola — LegalJamii Blog Tuwalinde watoto UtanguliziKatika jamii yoyote ile, watoto ni kundi muhimu linalopaswa kulindwa na kuendelezwa kwa uangalifu mkubwa. Watoto, kutokana na hali yao ya umri na kutokukomaa kifikra, wanahitaji mfumo wa haki unaolinda maslahi yao, lakini pia kuwaelekeza wanapokosea. Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayozingatia utawala wa sheria naContinueContinue reading “MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai”

UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi — Somo kwa Tanzania na Afrika🌍

Na Richard Kalokola — LegalJamii Blog A Tanzanian official presents economic investment opportunities to delegates at a professional forum. UtanguliziKatika harakati za kujenga taifa lenye uchumi thabiti na unaokua kwa kasi, mambo mengi huonwa kama msingi: uwekezaji wa ndani na nje, miundombinu bora, elimu ya kisasa, au sera nzuri za kiuchumi. Hata hivyo, kuna nguzoContinueContinue reading “UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi — Somo kwa Tanzania na Afrika🌍”

DHANA YA NDOA, PASIPO NDOA HALALI KISHERIA(PRESUMPTION OF MARRIAGE)

(De facto union) Bila shaka itakuwa si jambo geni sana masikioni mwa wengi, jambo la watu ambao huishi kama mke na Mume pasipo ndoa rasmi, ama kwa lugha ya mtaani hujulikana kama sogea tukae. Katika sheria ya Tanzania, dhana ya Presumption of Marriage inamaanisha kwamba mahakama inaweza kutambua uwepo wa ndoa hata kama haikusajiliwa rasmi,ContinueContinue reading “DHANA YA NDOA, PASIPO NDOA HALALI KISHERIA(PRESUMPTION OF MARRIAGE)”

SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2.

MASHTAKA YA KINDOA(MATRIMONIAL LITIGATION). Hizi ni taratibu ambapo upande mmoja wa ndoa awe mume ama mke, anakuwa na kesi dhidi ya upande mwingine kuhusu suala la kindoa. Taasisi kubwa mbili zenye mamlaka ya kusikiliza mashtaka ya kindoa katika hatua tofauti ni:- Mabaraza ya usuluhishi wa ndoa. (Marriage conciliatory boards) na, Mahakama. Mamlaka ya Mahakama(Jurisdiction ofContinueContinue reading “SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2.”

SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1.

MAANA YA FAMILIA. Familia ni dhana pana sana yenye tafsiri tofauti tofauti kulingana na mazingira, lakini katika tafsiri ya msingi familia ni muunganiko wa watu, ambao wanahusiana kwa damu, ndoa au kuasiliwa. Familia ni kundi la watu wanaohusiana kwa damu, ndoa, au uhusiano wa kulea, wanaoishi pamoja au kushirikiana kwa namna fulani katika maisha yao.ContinueContinue reading “SHERIA YA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1.”

Learn more on Litigation and argumentation skills; watch Section 375 and get inspired. The entire scope of how Justice and Law can confict.

https://videopress.com/v/UFZfKBTQ?resizeToParent=true&cover=true&preloadContent=metadata&useAverageColor=true Law & Justice