Ni wazi kwamba msisitizo umekuwa ukitolewa kwa wananchi kutoka mamlaka mbalimbali za vyombo vya dola kuhusu kutojichukulia Sheria Mkononi. Wananchi wamekuwa wakiaswa kufika mbele ya vyombo vya sheria kwa uamuzi ama utatuzi wa migogoro yao. Hata hivyo Leo njia ya utatuzi wa migogoro kwa UPATANISHI, USULUHISHI na UAMUZI nje ya mahakama umekuwa ukihamasishwa sana, katikaContinueContinue reading “UTATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA YA USULUHISHI NA UPATANISHI.βͺοΈ”
Author Archives: LEGALJAMIIβοΈ
SHERIA NA JAMII β
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya JAMII na SHERIA na hii ni kutokana na ukweli kwamba hakuna jamii bila sheria. Sheria husaidia kuweka taratibu, kanuni, miiko, na miongozo ya namna ya kufanya mambo mbalimbali katika jamii husika. Karibu kila jambo Duniani kwa sasa linaongozwa na sheria hivyo ni wajibu was raia na wanajamii wote kufahamuContinueContinue reading “SHERIA NA JAMII β”
The Journey Begins
Thanks for joining LegalJamii! This site aims at upholding and promoting legal awareness among the community/Society. As we are of the view that it is of great essence that the society understands the rules, principles and regulations that governs their daily conducts, in order to avoid unnecessary Claims. This further culminates from the phrase “ubiContinueContinue reading “The Journey Begins”
