πŸ›˜JE! UNA MGOGORO WA ARDHI? Hatua za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi na Mahakama za Migogoro ya Ardhi Tanzania.

Ardhi UtanguliziMigogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara nyingi nchini Tanzania. Chanzo chake kinaweza kuwa ni mipaka ya ardhi, umiliki wa kiwanja au shamba, urithi wa ardhi, uvamizi wa ardhi, upangishaji, matumizi ya ardhi, pamoja na madai ya fidia. Ili kuhakikisha haki inapatikana kwa haraka na kwa gharama nafuu, Tanzania imeanzisha mfumo maalumuContinueContinue reading “πŸ›˜JE! UNA MGOGORO WA ARDHI? Hatua za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi na Mahakama za Migogoro ya Ardhi Tanzania.”